sw_tn/job/15/17.md

12 lines
295 B
Markdown

# Mimi nitakuonyesha wewe;
Hii ni nahau. "Mimi nitakuleza wewe" au " Mimi ninaweka wazi kwako wewe"
# Mimi nitakutangazia wewe
"Mimi ntatangaza"
# mababu zao hawakuvificha.
Elifazi anasisitiza kuwa mababu zao kwa makusudi waliwafundisha vitu hivi. " mababu zao waliwafundisha wao waziwazi"