# Mimi nitakuonyesha wewe; Hii ni nahau. "Mimi nitakuleza wewe" au " Mimi ninaweka wazi kwako wewe" # Mimi nitakutangazia wewe "Mimi ntatangaza" # mababu zao hawakuvificha. Elifazi anasisitiza kuwa mababu zao kwa makusudi waliwafundisha vitu hivi. " mababu zao waliwafundisha wao waziwazi"