sw_tn/job/15/07.md

32 lines
1.3 KiB
Markdown

# habari za Jumla
Kila mstari ni mfano ambao unabeba maswali mawili yenye kejeli .
# Je, wewe ni mwanadamu wa kwanza ambaye aliyezaliwa?
Jibu dhahiri ni "hapana" Swali hili la kejeli linaweza kuwekwa katika hali isiyo ya kuuliza: Wewe siyo mtu wa kwanza aliyezaliwa"
# Je, wewe ulizaliwa?
"Je, Mungu alikuleta"
# Wewe ulikuwepo kabla ya vilima kuwepo?
Jibu sahihi ni "hapana" Hili ni swali la kejeli laweza kuwekawa hivi katika hali isiyo ya kuuliza: Wewe hujaletwa katika dunia kabla ya milima" au " Mungu hakukuleta wewe katika dunia kabla yeye hajaleta vilima katika dunia"
# Wewe Umewahi kusikia maarifa ya siri ya Mungu?
Jibu dhahiri ni "hapana" Swali hili la kejeli laweza kuwekwa katika hali isiyo ya kuuliza hivi: "Wewe hujasikia siri za maarifa ya Mungu"
# Je, wewe wajihesabia mwenye hekima wewe mwenyewe?
swali hili la kejeli linasisitiza kuwa yeye hawezi kujihesabia hekima yeye mwenyewe. "Wewe huwezi kujihesabia hekima wewe mwenyewe" au " Wewe siyo mtu pekee mwenye hekima"
# Ni kitu gani unachokifahamu wewe ambacho sisi hatukijui?
Jibu sahihi ni "hakuna"Hakuna chochote ambacho unakijua ambacho sisi hatukijui" au "Kila kitu unachokifahamu, hata sisi tunakifahamu"
# Ni kitu gani unachokifahamu wewe ambacho hakiko katika sisi?
"Kila kitu unachokifahamu , sisi pia tunakifahamu" au "Sisi tunakifahamu kila kitu unachokifahamu"