# habari za Jumla Kila mstari ni mfano ambao unabeba maswali mawili yenye kejeli . # Je, wewe ni mwanadamu wa kwanza ambaye aliyezaliwa? Jibu dhahiri ni "hapana" Swali hili la kejeli linaweza kuwekwa katika hali isiyo ya kuuliza: Wewe siyo mtu wa kwanza aliyezaliwa" # Je, wewe ulizaliwa? "Je, Mungu alikuleta" # Wewe ulikuwepo kabla ya vilima kuwepo? Jibu sahihi ni "hapana" Hili ni swali la kejeli laweza kuwekawa hivi katika hali isiyo ya kuuliza: Wewe hujaletwa katika dunia kabla ya milima" au " Mungu hakukuleta wewe katika dunia kabla yeye hajaleta vilima katika dunia" # Wewe Umewahi kusikia maarifa ya siri ya Mungu? Jibu dhahiri ni "hapana" Swali hili la kejeli laweza kuwekwa katika hali isiyo ya kuuliza hivi: "Wewe hujasikia siri za maarifa ya Mungu" # Je, wewe wajihesabia mwenye hekima wewe mwenyewe? swali hili la kejeli linasisitiza kuwa yeye hawezi kujihesabia hekima yeye mwenyewe. "Wewe huwezi kujihesabia hekima wewe mwenyewe" au " Wewe siyo mtu pekee mwenye hekima" # Ni kitu gani unachokifahamu wewe ambacho sisi hatukijui? Jibu sahihi ni "hakuna"Hakuna chochote ambacho unakijua ambacho sisi hatukijui" au "Kila kitu unachokifahamu, hata sisi tunakifahamu" # Ni kitu gani unachokifahamu wewe ambacho hakiko katika sisi? "Kila kitu unachokifahamu , sisi pia tunakifahamu" au "Sisi tunakifahamu kila kitu unachokifahamu"