sw_tn/job/14/15.md

40 lines
1.4 KiB
Markdown

# Habari za Jumla:
Habari za Jumla: Ayubu anaendelea kuzungumza kwa Mungu.
# mimi ningekujibu
"Mimi ningeitikia kujibu"
# Wewe ungekuwa na shauku ya
Jina " shauku" linaweza kuelezwa pamoja na kitenzi "shauku" au "kutamani." Wewe ungekuwa na shauku" au " Wewe ungehitaji"
# ya kazi ya mikono yako.
Hapa mikono ya Mungu inamwakilisha yeye kufanya vitu. Ayubu anajisema mwenyewe kuwa kazi ya mikono ya Mungu. " kwa ajili yangu, ambaye umenitengeneza"
# hesabu...na kutunza
Vitenzi hivi viwili kwa pamoja vinaeleza tendo moja."Kwa umakini tunza kwa ajili ya"
# nyayo zangu;
Nyayo zinawakilisha maisha yake yeye au kile ambacho yeye anafanya."maisha yangu" au vitu ambavyo mimi huwa navifanya"
# Wewe usingejali kumbukumbu ya dhambi yangu...wewe ungeufunga
Mistari hii mitatu inaeleza wazo lilelile na imetumika pamoja kusisitiza ujasiri wake yeye, Mungu angemsamehe yeye.
# Wewe usingehifadhi mkoba wa dhambi yangu.
Kutunza mkoba wa dhambi ya Ayubu inawakilisha kufikiri juu ya dhambi yake. "wewe usingetazama dhambi yangu" au "wewe usingefikiri juu ya dhambi yangu"
# Uovu wangu ungetiwa muhuri katika mkoba;
Kuutia muhuri uovu katika mkoba inawakilisha kuuficha na kukataa kufikiri juu yake. " Wewe ungekataa kufikiri juu ya uovu wangu kama mtu ambaye huficha kitu fulani katika mkoba"
# wewe ungeufunika uovu wangu.
Kufunika uovu kwa kitu ili kwamba usiweze kuonekana ni kufikiri juu yake. "wewe ungeuficha uovu wangu" au " wewe ungeupuuza uovu wangu"