# Habari za Jumla: Habari za Jumla: Ayubu anaendelea kuzungumza kwa Mungu. # mimi ningekujibu "Mimi ningeitikia kujibu" # Wewe ungekuwa na shauku ya Jina " shauku" linaweza kuelezwa pamoja na kitenzi "shauku" au "kutamani." Wewe ungekuwa na shauku" au " Wewe ungehitaji" # ya kazi ya mikono yako. Hapa mikono ya Mungu inamwakilisha yeye kufanya vitu. Ayubu anajisema mwenyewe kuwa kazi ya mikono ya Mungu. " kwa ajili yangu, ambaye umenitengeneza" # hesabu...na kutunza Vitenzi hivi viwili kwa pamoja vinaeleza tendo moja."Kwa umakini tunza kwa ajili ya" # nyayo zangu; Nyayo zinawakilisha maisha yake yeye au kile ambacho yeye anafanya."maisha yangu" au vitu ambavyo mimi huwa navifanya" # Wewe usingejali kumbukumbu ya dhambi yangu...wewe ungeufunga Mistari hii mitatu inaeleza wazo lilelile na imetumika pamoja kusisitiza ujasiri wake yeye, Mungu angemsamehe yeye. # Wewe usingehifadhi mkoba wa dhambi yangu. Kutunza mkoba wa dhambi ya Ayubu inawakilisha kufikiri juu ya dhambi yake. "wewe usingetazama dhambi yangu" au "wewe usingefikiri juu ya dhambi yangu" # Uovu wangu ungetiwa muhuri katika mkoba; Kuutia muhuri uovu katika mkoba inawakilisha kuuficha na kukataa kufikiri juu yake. " Wewe ungekataa kufikiri juu ya uovu wangu kama mtu ambaye huficha kitu fulani katika mkoba" # wewe ungeufunika uovu wangu. Kufunika uovu kwa kitu ili kwamba usiweze kuonekana ni kufikiri juu yake. "wewe ungeuficha uovu wangu" au " wewe ungeupuuza uovu wangu"