sw_tn/job/13/16.md

16 lines
777 B
Markdown

# Hiki kitakuwa sababu ya kutohesabiwa hatia,
Kielezi cha jina "kutohesabia hatia" chaweza kuelezwa pamoja na kitenzi " kutohesabia hatia" "Hii ndiyo sababu Mungu hatanihesabia hatia mimi " au " Hii ni sababu ambayo Mungu atasema kwamba mimi sina hatia"
# Mungu, sikiliza kwa makini
Ayubu anaanza kuelekeza hoja yake moja kwa moja kwa Mungu.
# sikiliza kwa makini kuzungumza kwangu; ruhusu kutangaza kwangu kuje kwenye masikio yako.
Mistari hii miwili kimsingi inamaanisha kitu kilekile na kinatilia uzito wa ombi la Ayubu kwa Mungu kumsikiliza yeye.
# ruhusu kutangaza kwangu kuje kwenye masikio yako.
Kielezi cha jina "tangazo" Chaweza kuelezwa pamoja na kitenzi "tangaza." Masikio yanawakilisha kusikiliza. "sikiliza kutangaza kwangu" au sikia kile ninachotangaza"