# Hiki kitakuwa sababu ya kutohesabiwa hatia, Kielezi cha jina "kutohesabia hatia" chaweza kuelezwa pamoja na kitenzi " kutohesabia hatia" "Hii ndiyo sababu Mungu hatanihesabia hatia mimi " au " Hii ni sababu ambayo Mungu atasema kwamba mimi sina hatia" # Mungu, sikiliza kwa makini Ayubu anaanza kuelekeza hoja yake moja kwa moja kwa Mungu. # sikiliza kwa makini kuzungumza kwangu; ruhusu kutangaza kwangu kuje kwenye masikio yako. Mistari hii miwili kimsingi inamaanisha kitu kilekile na kinatilia uzito wa ombi la Ayubu kwa Mungu kumsikiliza yeye. # ruhusu kutangaza kwangu kuje kwenye masikio yako. Kielezi cha jina "tangazo" Chaweza kuelezwa pamoja na kitenzi "tangaza." Masikio yanawakilisha kusikiliza. "sikiliza kutangaza kwangu" au sikia kile ninachotangaza"