sw_tn/job/13/01.md

20 lines
707 B
Markdown

# Sentensi Unganishi:
Sentensi unganishi: Ayubu anaendelea kuzungumza kwa rafiki zake.
# Tazama
"Kuwa msikivu" au "Sikiliza" "maneno haya yanakumbusha pale Ayubu anapowataka rafiki zake kusikiliza kwa makini"
# jicho langu limeyaona haya yote;
Ayubu anajisema yeye mwenyewe kama macho yake kwa kuwa ni macho yake ambayo yanaona vitu hivi. "Mimi nimeyaona haya yote"
# sikio langu limeyasikia na kuyaelewa hayo.
Ayubu anasema yeye mwenyewe kama sikio lake kwa kuwa kwa masikio yake yeye mwenyewe amesikia vitu hivi. "Mimi nimesikia na kuvielewa"
# Kile mnachokifahamu, ndicho hicho mimi pia ninachokifahamu;
Kile mnachokifahamu, Mimi pia ninakifahamu" au "Mimi ninafahamu mengi kama vile ninyi"