# Sentensi Unganishi: Sentensi unganishi: Ayubu anaendelea kuzungumza kwa rafiki zake. # Tazama "Kuwa msikivu" au "Sikiliza" "maneno haya yanakumbusha pale Ayubu anapowataka rafiki zake kusikiliza kwa makini" # jicho langu limeyaona haya yote; Ayubu anajisema yeye mwenyewe kama macho yake kwa kuwa ni macho yake ambayo yanaona vitu hivi. "Mimi nimeyaona haya yote" # sikio langu limeyasikia na kuyaelewa hayo. Ayubu anasema yeye mwenyewe kama sikio lake kwa kuwa kwa masikio yake yeye mwenyewe amesikia vitu hivi. "Mimi nimesikia na kuvielewa" # Kile mnachokifahamu, ndicho hicho mimi pia ninachokifahamu; Kile mnachokifahamu, Mimi pia ninakifahamu" au "Mimi ninafahamu mengi kama vile ninyi"