sw_tn/job/12/19.md

32 lines
1.1 KiB
Markdown

# Yeye huwaongoza makuhani mbali bila kuvaa viatu
Kuwaongoza makuhani mbali bila kuvaa viatu inawakilisha kuondolea mbali mamlaka yao.
# Yeye humwaga aibu
"aibu" inaweza kuelezwa kuwa ni huzuni, au majonzi." na wanajisikia wenye huzuni zana"
# kuwapindua watu wakuu.
"huwashinda watu wenye nguvu"
# Yeye huondoa hotuba ya wale waliokuwa wameaminiwa
Kuondoa hotuba zao kunawakilisha kuwafanya wao washindwe kuzungumza."Yeye huwafanya wale waliokuwa wameaminiwa kutoweza kuzungumza" au "Yeye huwanyamazisha watu ambao wengine wanawatumainia"
# huondoa mbali ufahamu wa wazee
Kuondolea mbali uafahamu wao kunawakilisha kutoweza kufahamu au kufanya maamuzi sahihi. "huwafanya wazee washindwe kufahamu: au " huwafanya wazee wasiweze kufanya maamuzi sahihi"
# wazee.
"watu wazee" au" wazee"
# Yeye humwaga aibu juu ya binti za wafalme
Kumwaga aibu juu ya binti za wafalme ni kuwasababishia watu kujisikia wenye huzuni juu yao." Yeye huwafanya watu kutowaheshimu sana wale wanaotawala"
# hufungua mishipi ya watu wenye nguvu.
Mshipi ni alama ya nguvu.Kufungua mshipi wa mtu menye nguvu huwakilisha kuondolea mbali nguvu zake na kumfanya awe dhaifu"