# Yeye huwaongoza makuhani mbali bila kuvaa viatu Kuwaongoza makuhani mbali bila kuvaa viatu inawakilisha kuondolea mbali mamlaka yao. # Yeye humwaga aibu "aibu" inaweza kuelezwa kuwa ni huzuni, au majonzi." na wanajisikia wenye huzuni zana" # kuwapindua watu wakuu. "huwashinda watu wenye nguvu" # Yeye huondoa hotuba ya wale waliokuwa wameaminiwa Kuondoa hotuba zao kunawakilisha kuwafanya wao washindwe kuzungumza."Yeye huwafanya wale waliokuwa wameaminiwa kutoweza kuzungumza" au "Yeye huwanyamazisha watu ambao wengine wanawatumainia" # huondoa mbali ufahamu wa wazee Kuondolea mbali uafahamu wao kunawakilisha kutoweza kufahamu au kufanya maamuzi sahihi. "huwafanya wazee washindwe kufahamu: au " huwafanya wazee wasiweze kufanya maamuzi sahihi" # wazee. "watu wazee" au" wazee" # Yeye humwaga aibu juu ya binti za wafalme Kumwaga aibu juu ya binti za wafalme ni kuwasababishia watu kujisikia wenye huzuni juu yao." Yeye huwafanya watu kutowaheshimu sana wale wanaotawala" # hufungua mishipi ya watu wenye nguvu. Mshipi ni alama ya nguvu.Kufungua mshipi wa mtu menye nguvu huwakilisha kuondolea mbali nguvu zake na kumfanya awe dhaifu"