sw_tn/job/12/07.md

20 lines
1.1 KiB
Markdown

# 7Lakini sasa waulize... watakuambia wewe.
Tungo hizi nne zote zinaelezea wazo moja kwamba wanyama wa mwituni, ndege, ardhi, na samaki, wanamfahamu Mungu vizuri kuliko rafiki za Ayubu wanavyofanya.
# waulize hao wanyama wa mwituni, na watakufundisha wewe;
Kiambishi tashihisi katika sehehemu ya kwanza ya sentensi kinatumika kuonyesha hali ya kutokuwa na uhakika wa jambo kutokea. "Lakini ungewauliza hayawani wangekufundisha wewe"
# waulize ndege wa angani, na watakuambia wewe
Tashihisi katika sentensi hii inatumika kuonyesha hali ya kutokuwa na hakika ya jambo kutokea. "kama wewe ungewauliza ndege wa angani, wao wangekuambia wewe"
# Au iambie ardhi, na itakufundisha wewe;
Kiambishi tashihisi katika sehemu ya kwanza ya sentensi hii kinatumika kuonyesha hali ya kutokuwa na uhakika wa jambo kutokea "Au kama ungeiambia ardhi ingekufundisha wewe"
# samaki wa baharini watakutangazia wewe.
Kiambishi tashihisi "Waulize samaki wa baharini" kimefahamika kutoka katika sentensi zilizotangulia."na kama ungeliwauliza samaki wa baharini, wangekutangazia wewe"