# 7Lakini sasa waulize... watakuambia wewe. Tungo hizi nne zote zinaelezea wazo moja kwamba wanyama wa mwituni, ndege, ardhi, na samaki, wanamfahamu Mungu vizuri kuliko rafiki za Ayubu wanavyofanya. # waulize hao wanyama wa mwituni, na watakufundisha wewe; Kiambishi tashihisi katika sehehemu ya kwanza ya sentensi kinatumika kuonyesha hali ya kutokuwa na uhakika wa jambo kutokea. "Lakini ungewauliza hayawani wangekufundisha wewe" # waulize ndege wa angani, na watakuambia wewe Tashihisi katika sentensi hii inatumika kuonyesha hali ya kutokuwa na hakika ya jambo kutokea. "kama wewe ungewauliza ndege wa angani, wao wangekuambia wewe" # Au iambie ardhi, na itakufundisha wewe; Kiambishi tashihisi katika sehemu ya kwanza ya sentensi hii kinatumika kuonyesha hali ya kutokuwa na uhakika wa jambo kutokea "Au kama ungeiambia ardhi ingekufundisha wewe" # samaki wa baharini watakutangazia wewe. Kiambishi tashihisi "Waulize samaki wa baharini" kimefahamika kutoka katika sentensi zilizotangulia."na kama ungeliwauliza samaki wa baharini, wangekutangazia wewe"