sw_tn/job/12/01.md

20 lines
769 B
Markdown

# Hakuna shaka
"Hakika"
# ninyi wanadamu
"ninyi ni watu muhimu mnafahamu kila kitu"
# Hakuna shaka ninyi wanadamu; Hekima mtakufa nayo
Ayubu anawadhihaki jinsi gani wanavyotenda na kuonyesha jinsi walivyo wenye kudhihaki. "Hakika ninyi ni watu muhimu kwamba hekima haiwezi kuwepo bila ninyi" au " Ninyi nyote mnatenda kama ninyi ni watu wenye hekima peke yenu, na kwamba wakati mtakapokufa hekima itapotea"
# ninyi
Huu ni wingi hapa na katika sentensi mbili zifuatazo.
# Ni dhahiri, ni nani asiyefahamu vitu hivyo kama hivi?
Ayubu anatumia swali hili kuelezea ukweli ambao unapaswa kuwa wazi kwa wasikilizaji wake. Sentensi hii inaweza kuelezwa kwa jinsi hii: Ni dhahiri hakuna awaye yote ambaye hafahamu vitu kama hivi" au "kila mtu anafahamu vitu hivi"