sw_tn/job/10/15.md

44 lines
1.2 KiB
Markdown

# Kama mimi ni muovu
"Kama mimi ni muovu" au "Kama mimi nafanya mambo maovu"
# ole wangu
"jinsi ngani itakuwa ya kutisha kwangu"
# hata kama ni mwenye haki
"hata kama mimi mara zote hufanya mambo vizuri"
# inua kichwa changu
Msemo huu unamaanisha kuwa na uhakika or tumaini. "nitazidi kutazama juu" au "kuwa na tumaini" au "kuwa na uhakika kuhusu mimi mwenyewe"
# nimejaa aibu
Jina la kufikirika "aibu" linaweza kutafsiriwa kwa kutumia kivumishi "aibika." "Mimi nimejawa na kuaibika"
# aibu
"fedheha"
# na ninayaangalia mateso yangu
Jina la kufikirika "mateso" linaweza kutafsiriwa kwa kutumia kitenzi "teseka." "na ninaangalia jinsi gani mimi nateseka"
# na ninayaangalia
Neno linalokosekana linaweza kuwa kuongezwa. "na mimi ninatazama"
# Kama kichwa changu kikijiinua chenyewe
Msemo huu unamaanisha kuwa kujiamini au kujiona. "Kama nitakuwa na kiburi"
# waniwinda kama simba
Maana zinazofaa ni 1) Mungu anamwinda Ayubu kama simba awindavyo mawindo yake au 2) Ayubu ni kama simba awindwaye na Mungu.
# mara nyingine tena wajionyesha mwenyewe kuwa ni mwenye nguvu kwangu.
Kifungu hiki kinaelezea kejeri jinsi gani ma ajabu ya nguvu za Mungu yaonekanavyo kwa namna yeye anavyotenda dhidi ya Ayubu.