# Kama mimi ni muovu "Kama mimi ni muovu" au "Kama mimi nafanya mambo maovu" # ole wangu "jinsi ngani itakuwa ya kutisha kwangu" # hata kama ni mwenye haki "hata kama mimi mara zote hufanya mambo vizuri" # inua kichwa changu Msemo huu unamaanisha kuwa na uhakika or tumaini. "nitazidi kutazama juu" au "kuwa na tumaini" au "kuwa na uhakika kuhusu mimi mwenyewe" # nimejaa aibu Jina la kufikirika "aibu" linaweza kutafsiriwa kwa kutumia kivumishi "aibika." "Mimi nimejawa na kuaibika" # aibu "fedheha" # na ninayaangalia mateso yangu Jina la kufikirika "mateso" linaweza kutafsiriwa kwa kutumia kitenzi "teseka." "na ninaangalia jinsi gani mimi nateseka" # na ninayaangalia Neno linalokosekana linaweza kuwa kuongezwa. "na mimi ninatazama" # Kama kichwa changu kikijiinua chenyewe Msemo huu unamaanisha kuwa kujiamini au kujiona. "Kama nitakuwa na kiburi" # waniwinda kama simba Maana zinazofaa ni 1) Mungu anamwinda Ayubu kama simba awindavyo mawindo yake au 2) Ayubu ni kama simba awindwaye na Mungu. # mara nyingine tena wajionyesha mwenyewe kuwa ni mwenye nguvu kwangu. Kifungu hiki kinaelezea kejeri jinsi gani ma ajabu ya nguvu za Mungu yaonekanavyo kwa namna yeye anavyotenda dhidi ya Ayubu.