sw_tn/job/10/08.md

20 lines
474 B
Markdown

# Mikono yako
Hapa "mikono" ni mfano wa Mungu na ubunifu wake wa kufanya. "Wewe"
# Mikono yako imeniumba na kunifinyanga kwa wakati mmoja nawe kunizunguka
Ayubu anatumia sitiari ya mfinyanzi atengenezaye udongo kuelezea namna Mungu alivyo muumba yeye kwa uangalifu mkubwa.
# imeniumba na kunifinyanga
"amenipa umbo na kunitengeneza." Maneno "umbwa" na "finyangwa" yana maana inayolandana.
# fikiri
"kumbuka"
# utanirudisha mavumbini tena
"nirudishe tena mavumbini"