# Mikono yako Hapa "mikono" ni mfano wa Mungu na ubunifu wake wa kufanya. "Wewe" # Mikono yako imeniumba na kunifinyanga kwa wakati mmoja nawe kunizunguka Ayubu anatumia sitiari ya mfinyanzi atengenezaye udongo kuelezea namna Mungu alivyo muumba yeye kwa uangalifu mkubwa. # imeniumba na kunifinyanga "amenipa umbo na kunitengeneza." Maneno "umbwa" na "finyangwa" yana maana inayolandana. # fikiri "kumbuka" # utanirudisha mavumbini tena "nirudishe tena mavumbini"