sw_tn/job/08/11.md

8 lines
289 B
Markdown

# Je hayo mafunjo yaota pasipo matope? Je mafunjo yaota pasipo maji?
Bidadi anatoa maswali ya kejeri kusisitiza hoja yake aliyoitoa katika 8:8: Watu wanahitaji mafundisho ya wazazi wao. "Mti wa mafunjo hayawezi kumea mbali na bwawa. Mafunjo hayawezi kumea bila maji."
# nyauka
"kausha"