# Je hayo mafunjo yaota pasipo matope? Je mafunjo yaota pasipo maji? Bidadi anatoa maswali ya kejeri kusisitiza hoja yake aliyoitoa katika 8:8: Watu wanahitaji mafundisho ya wazazi wao. "Mti wa mafunjo hayawezi kumea mbali na bwawa. Mafunjo hayawezi kumea bila maji." # nyauka "kausha"