sw_tn/job/08/04.md

12 lines
439 B
Markdown

# kwa kuwa amewatia mkononi kwa makosa yao
" ni kwasababu Mungu ameruhusu uwezo wa dhambi zao kuwaongoza wao" au "amewaadhibu kulingana na matokeo ya dhambi zao."
# Lakini wewe unaonaje ukimtafuta Mungu kwa bidii na kufikisha haja yako kwa huyo Mwenyezi
Vifungu vyote hivi vinamtaja Ayubu akimwomba Mungu msaada, au akijitetea kwa Mungu kwa ajili ya msamaha.
# ukimtafuta Mungu kwa bidii
"kwa bidii mwombe Mungu kwa ajili ya msaada"