# kwa kuwa amewatia mkononi kwa makosa yao " ni kwasababu Mungu ameruhusu uwezo wa dhambi zao kuwaongoza wao" au "amewaadhibu kulingana na matokeo ya dhambi zao." # Lakini wewe unaonaje ukimtafuta Mungu kwa bidii na kufikisha haja yako kwa huyo Mwenyezi Vifungu vyote hivi vinamtaja Ayubu akimwomba Mungu msaada, au akijitetea kwa Mungu kwa ajili ya msamaha. # ukimtafuta Mungu kwa bidii "kwa bidii mwombe Mungu kwa ajili ya msaada"