sw_tn/job/07/04.md

12 lines
412 B
Markdown

# Lini nitatoka kitandani na lini usiku utatoweka?
Ayubu analeta swali hili kusisitiza mateso yake makali sana wakati wa masaa ya kulala. "Natamani ningeweza kuamka, lakini usiku unaendelea."
# Nimejawa na kujitupa huku na huko
Hii inaonyesha kwamba Ayubu alikuwa anahamahama kitandani usiku kucha bila kupumzika. "Mimi nimechoka kujisukasuka na kujigeuza bila kutulia."
# madonda yenye vumbi
uvimbe mchafu