sw_tn/job/04/10.md

20 lines
722 B
Markdown

# Habari za Jumla:
Mwandishi anatumia ulinganishaji katika mistari hii, anawasilisha wazo moja akitumia maelezo tofauti kutilia mkazo uharibifu wa Mungu kwa watu waovu.
# Kuunguruma kwa simba, sauti ya simba mkali, meno ya simba wadogo - yamevunjika.
Hapa muungurumo wa simba, sauti yake, na meno yake yamevunjika vinatumika kama mfano wa kuangamizwa kwa waovu.
# yamevunjika
Hii inaweza kuwekwa katika umbo halisi. "kitu fulani kimeyavunja"
# Simba mzee huangamia kwa kukosa wahanga; watoto wa simba jike wametawanyiko kila mahali
Elifazi anatumia picha ya simba mzee anayekufa kwa njaa na familia yake imetawanyika kama sitiari ya kuangamizwa kwa waovu
# wametawanyika
"kitu fulani kimetawanya watoto wa simba"