sw_tn/jhn/21/intro.md

14 lines
333 B
Markdown

# Yohana 21 Maelezo ya Jumla
## Mifano muhima ya usemi katika sura hii
### Mifano
Yesu anatumia mifano mingi ya uchungaji. Kwa mfano, "kulisha kondoo wangu," "chunga kondoo wangu" na "kulisha kondoo wangu." Petro sasa angekuwa mchungaji wa watu wa Mungu.
## Links:
* __[John 21:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../20/intro.md) | __