# Yohana 21 Maelezo ya Jumla ## Mifano muhima ya usemi katika sura hii ### Mifano Yesu anatumia mifano mingi ya uchungaji. Kwa mfano, "kulisha kondoo wangu," "chunga kondoo wangu" na "kulisha kondoo wangu." Petro sasa angekuwa mchungaji wa watu wa Mungu. ## Links: * __[John 21:01 Notes](./01.md)__ __[<<](../20/intro.md) | __