sw_tn/jhn/21/20.md

12 lines
376 B
Markdown

# alimpenda
Huu ni aina ya upendo amabao hutoka kwa Mungu ambao huangalia mema ya wengine hata kama hauna maslahi binafsi. Aina ya upendo huu huwajali wengine, bila kujali wanachokifanya
# kwenye chakula cha jioni
Hii inakumbushia chakula cha mwisho ambacho Yesu alikula na wanfunzi wake
# Petro alimwona
Hapa neno "yeye" linalemlenga "mwanafunzi ambaye Yesu alimpenda"