# alimpenda Huu ni aina ya upendo amabao hutoka kwa Mungu ambao huangalia mema ya wengine hata kama hauna maslahi binafsi. Aina ya upendo huu huwajali wengine, bila kujali wanachokifanya # kwenye chakula cha jioni Hii inakumbushia chakula cha mwisho ambacho Yesu alikula na wanfunzi wake # Petro alimwona Hapa neno "yeye" linalemlenga "mwanafunzi ambaye Yesu alimpenda"