sw_tn/jhn/19/19.md

12 lines
359 B
Markdown

# Pilato pia aliandika alama na kuiweka juu ya msalaba
hapa inamaanisha mtu aliyeandika kwa niaba ya Pilato na kuiweka juu ya msalaba wa Yesu
# Hapo paliandikwa: YESU MNAZARETHH, MFALME WA WAYAHUDI
Unaweza pia kutafsiri hii kama: "hivyo yule mtu aliandika maneno haya: Yesu ya nazarethi, mfalme wa Wayahudi"
# Kiyunani
Hii ni lugha ya serikali ya Kirumi