# Pilato pia aliandika alama na kuiweka juu ya msalaba hapa inamaanisha mtu aliyeandika kwa niaba ya Pilato na kuiweka juu ya msalaba wa Yesu # Hapo paliandikwa: YESU MNAZARETHH, MFALME WA WAYAHUDI Unaweza pia kutafsiri hii kama: "hivyo yule mtu aliandika maneno haya: Yesu ya nazarethi, mfalme wa Wayahudi" # Kiyunani Hii ni lugha ya serikali ya Kirumi