sw_tn/jhn/19/10.md

12 lines
345 B
Markdown

# Je, wewe huongei na mimi?
Pilato anaonyesha kushangazwa na Yesu kwa kutokuitumia nafasi hiyo ya kujiteteta. "Nijibu"
# Usingekuwa na nguvu kama usingepewa toka juu
"Una mamalaka kinyume changu kwa sababu tu umepewa"
# aliyenitoa
Neno "kutoa" linamaanisha kumkabidhi Yesu kwa adui, kama vile Yuda alivyomtoa Yesu kwa viongozi wa Kiyahudi