# Je, wewe huongei na mimi? Pilato anaonyesha kushangazwa na Yesu kwa kutokuitumia nafasi hiyo ya kujiteteta. "Nijibu" # Usingekuwa na nguvu kama usingepewa toka juu "Una mamalaka kinyume changu kwa sababu tu umepewa" # aliyenitoa Neno "kutoa" linamaanisha kumkabidhi Yesu kwa adui, kama vile Yuda alivyomtoa Yesu kwa viongozi wa Kiyahudi