sw_tn/jhn/19/07.md

12 lines
384 B
Markdown

# inampasa kufa kwa sababu yeye alijifanya kuwa mwana wa Mungu
Yesu alihukumiwa kufa kwa kifo cha kusulibiwa kwa sababu ya kudai kuwa yeye alikuwa "mwana wa Mungu"
# Mwana wa Mungu
Hiki ni cheo cha muhimu cha Yesu
# Wewe uatoka wapi?
"Unatoka wapi? Pilato alimuliza Yesu kwa ajili ya kujua utambulisho wake. utamaduni wako unaweza kuwa njia maalumu ya kutambua utamaduni wa mtu.