# inampasa kufa kwa sababu yeye alijifanya kuwa mwana wa Mungu Yesu alihukumiwa kufa kwa kifo cha kusulibiwa kwa sababu ya kudai kuwa yeye alikuwa "mwana wa Mungu" # Mwana wa Mungu Hiki ni cheo cha muhimu cha Yesu # Wewe uatoka wapi? "Unatoka wapi? Pilato alimuliza Yesu kwa ajili ya kujua utambulisho wake. utamaduni wako unaweza kuwa njia maalumu ya kutambua utamaduni wa mtu.