sw_tn/jhn/18/31.md

12 lines
300 B
Markdown

# Maelezo ya jumla:
Kwenye mstari wa 32 mwandishi anaelezea jinsi ambavyo yesu alitabiri kifo chake
# Wayahudi wakamwambia
Hawa ni viongozi wa Wayahudi aliompinga Yesu na kumkamata.
# sheria haituruhusu sisi kumpa tu adhabu ya kifo
Kulingana na sheria ya Kirumi, Wayahudi wasingweza kumuua mtu.