# Maelezo ya jumla: Kwenye mstari wa 32 mwandishi anaelezea jinsi ambavyo yesu alitabiri kifo chake # Wayahudi wakamwambia Hawa ni viongozi wa Wayahudi aliompinga Yesu na kumkamata. # sheria haituruhusu sisi kumpa tu adhabu ya kifo Kulingana na sheria ya Kirumi, Wayahudi wasingweza kumuua mtu.