sw_tn/jhn/18/25.md

20 lines
436 B
Markdown

# Maelezo ya jumla:
Hapa habari inarudi kumwelezea Petro.
# Je, wewe ni mmoja wa wanafunzi wake?
Swali hili linatoa msisitizo wa ukweli wa jambo
# Je si wewe niliyekuona naye kule bustanini?
hapa neno "naye" linamaanisha Yesu
# Kisha Petro akamkana tena
Hii inamaanisha kuwa petro alimkana kwa kujua kuwa alikuwa na Yesu.
# na papo kwa papo jogoo akawika
Ikumbukwe kuwa Yesu alimwambia Petro kuwa jogoo atawika kabla hajamkana