# Maelezo ya jumla: Hapa habari inarudi kumwelezea Petro. # Je, wewe ni mmoja wa wanafunzi wake? Swali hili linatoa msisitizo wa ukweli wa jambo # Je si wewe niliyekuona naye kule bustanini? hapa neno "naye" linamaanisha Yesu # Kisha Petro akamkana tena Hii inamaanisha kuwa petro alimkana kwa kujua kuwa alikuwa na Yesu. # na papo kwa papo jogoo akawika Ikumbukwe kuwa Yesu alimwambia Petro kuwa jogoo atawika kabla hajamkana