sw_tn/jhn/16/17.md

16 lines
315 B
Markdown

# Maelezo ya jumla:
Wanafunzi wanaulizana kuhusu alichosemaYesu
# muda mfupi na hamtaniona tena
wanafunzi hawakuelewa kuwa yesu alikuwa anaongelea kifo chake msalabani
# na kisha muda mfupi mtaniona
Hii inaweza kumaanisha kufufuka kwa Yesu, au kuja kwa Yesu mara ya pili
# Baba
Hiki ni cheo muhimu cha Mungu