# Maelezo ya jumla: Wanafunzi wanaulizana kuhusu alichosemaYesu # muda mfupi na hamtaniona tena wanafunzi hawakuelewa kuwa yesu alikuwa anaongelea kifo chake msalabani # na kisha muda mfupi mtaniona Hii inaweza kumaanisha kufufuka kwa Yesu, au kuja kwa Yesu mara ya pili # Baba Hiki ni cheo muhimu cha Mungu