sw_tn/jhn/16/03.md

12 lines
297 B
Markdown

# Watawatendea haya kwa sababu hawamfahamu Baba wala mimi.
Baadhi ya waamini wanaweza kuuawa kwa sababu wasiomjua Mungu Baba pia hawamjui wala kumuelewa Mungu Mwana, Yesu Kristo.
# Baba
Hiki ni cheo cha Muhimu cha Mungu.
# Hapo mwanzo
Angalia ulivyotafsiri "tangu mwanzo" kwenye Yohana 15:26