# Watawatendea haya kwa sababu hawamfahamu Baba wala mimi. Baadhi ya waamini wanaweza kuuawa kwa sababu wasiomjua Mungu Baba pia hawamjui wala kumuelewa Mungu Mwana, Yesu Kristo. # Baba Hiki ni cheo cha Muhimu cha Mungu. # Hapo mwanzo Angalia ulivyotafsiri "tangu mwanzo" kwenye Yohana 15:26