sw_tn/jhn/15/10.md

12 lines
335 B
Markdown

# Ikiwa mtazishika amri zangu, mtadumu katika pendo langu kama nilivyozshika amri za baba yangu na kudumu katika pendo lake.
Wanafunzi wanapomtii Yesu, wanaonesha upendo wao kwake.
# Baba yangu
Hiki ni cheo cha muhimu cha Mungu
# ili kwamba furaha yenu ifanyike kuwa timilifu
Unaweza kutafsiri hii kama, "ili furaha yenu itimie."