# Ikiwa mtazishika amri zangu, mtadumu katika pendo langu kama nilivyozshika amri za baba yangu na kudumu katika pendo lake. Wanafunzi wanapomtii Yesu, wanaonesha upendo wao kwake. # Baba yangu Hiki ni cheo cha muhimu cha Mungu # ili kwamba furaha yenu ifanyike kuwa timilifu Unaweza kutafsiri hii kama, "ili furaha yenu itimie."