sw_tn/jhn/15/01.md

12 lines
262 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Simulizi inaendelea. Yesu anaketi mezani pamoja na wanafunzi wake
# Mimi ni mzabibu wa kweli
Yesu anajilinganisha mwenyewe na mzabibu kwa kuwa yeye ni chanzo cha uzima.
# Baba yangu ndiye mkulima
Hii inamaanisha "Mungu" ni kama mkulima