# Sentensi unganishi Simulizi inaendelea. Yesu anaketi mezani pamoja na wanafunzi wake # Mimi ni mzabibu wa kweli Yesu anajilinganisha mwenyewe na mzabibu kwa kuwa yeye ni chanzo cha uzima. # Baba yangu ndiye mkulima Hii inamaanisha "Mungu" ni kama mkulima