sw_tn/jhn/14/04.md

24 lines
523 B
Markdown

# Je! Twawezaje kuijua njia?
"Je! Tunawezaje kujua namna ya kufika pale?"
# njia
Hii inaweza kuwa 1)"njia kwa Mungu" au 2) "mtu yule awapelekaye watu kwa Mungu."
# kweli
Hii inaweza kuwa 2) "mtu wa kweli" au 2) "mtu anayenena maneno ya kweli."
# uzima
"mtu ambaye anaweza kuwafanya watu wawe hai."
# Yesu alimwambia, "Mimi ni njia, kweli, na uzima; hakuna mmoja wenu huja kwa Baba isipokuwa kupitia kwangu
Yesu, Mwana wa Mungu, ni njia pekee kwenda kwa Mungu Baba.
# Baba
Hiki ni cheo muhimu kwa ajili ya Mungu.