# Je! Twawezaje kuijua njia? "Je! Tunawezaje kujua namna ya kufika pale?" # njia Hii inaweza kuwa 1)"njia kwa Mungu" au 2) "mtu yule awapelekaye watu kwa Mungu." # kweli Hii inaweza kuwa 2) "mtu wa kweli" au 2) "mtu anayenena maneno ya kweli." # uzima "mtu ambaye anaweza kuwafanya watu wawe hai." # Yesu alimwambia, "Mimi ni njia, kweli, na uzima; hakuna mmoja wenu huja kwa Baba isipokuwa kupitia kwangu Yesu, Mwana wa Mungu, ni njia pekee kwenda kwa Mungu Baba. # Baba Hiki ni cheo muhimu kwa ajili ya Mungu.