sw_tn/jhn/14/01.md

12 lines
329 B
Markdown

# Usiruhusu moyo wako kuwa katika mahangaiko.
Huu ni msemo wenye maana kwamba , "acha kuogopa na kuwa na mashaka"
# Katika nyumba ya Baba yangu kuna makazi mengi...
Mungu Baba ametayarisha eneo mbinguni kwa kila mtu ambaye ni muumini, kuishi pamoja naye na Mwanawe milele.
# Baba
Hiki ni cheo cha muhimu kwa ajili ya Mungu.